kwamamaza 7

Kigali:Mahakama yapiga marufuku maombi ya Wanafamilia ya Rwigara

0

Mahakama ya Nyarugenge imetangaza kupinga maombi ya wanafamilia ya Rwigara yaani Diane Rwigara,Anne Rwigara na mzazi wao,Adeline Mukangemanyi yakiwemo kutembelewa,kukaa kwenye jua na upatikanaji wa biblia.

Diane Rwigara

Mahakama imeleza kuwa maombi haya hayahusiki na wajibu wa mahakama.

Adeline Mukangemanyi

Mahakama imesema haya baada ya  kuahirisha kesi hii ijumaa kwa kuwa mwanasheria wa watuhumiwa,Me Gatera Gashabana kupatiwa muda wa kutosha wa maandalizi ya kesi hii.

Anne Rwigara

Pia mahakama imepiga marufuku ombi la mwendeshamashtaka la kuhukumu kesi hii kwa kila mtuhumiwa akiwa pekee yake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanafamilia ya Rwigara wanashtakiwa kuzusha fujo nchini na matumizi ya hati bandia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Watuhumiwa wanakana mashtaka yote kwa kusema kuwa wanashtakiwa kwa sababu za kisiasa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.