kwamamaza 7

Kigali:Kesi ya Diane Rwigara na mamaye yaendelea,hisia za hadhira zaonekana mahakamani

0

Kesi ya Diane Nshimiyimana Rwigara na mama mzazi wake Adeline Mukangemanyi Rwigara imendelea kuhusu kufungwa muda kizuizini,ila hadhira waonyesha hisia nyingi baada ya kusikia maneno ya washtakiwa mahakamani mjini Kigali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mzazi huyu ameomba mahakama kuahirisha kesi kwa kuwa angali mgonjwa na kuwa hapati dawa alizoandikiwa na daktari kwa kuwa aliteswa kimwili tarehe 28-29 Agosti mwaka 2017.Madai aliyoyakanusha mwendeshamashtaka na kupigwa maufuku na jaji.

Pia taarufa za VOA zinasema kuwa haina thamani kutosema anachokifikiri.Huyu kwa kugusa biblia amerudia kuwa alihuduria kifo cha mwanamume wake,Assinapol Rwigara kwa macho yake.Jambo liliowafanya wengi mwa hadhira kususha pumzi na kuinamisha vichwa vyao miguuni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine Diane Rwigara amekifanya kilichowachekesha wengi baada ya kuambia hakimu kuwa angelimuachia hukuru lakini anaona kuwa hana uwezo wa uamuzi huu na kuongeza kuwa kesi yake ni ya kisiasa na kukumbusha hakimu kuwa siasa ndiyo inayongoza haki,jambo lilioangusha kicheko mwa hadhira.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diane Rwigara anashtakiwa matumizi ya hati bandia na kuzusha ghasia nchini wakati ambapo mama mzazi wake anashtakiwa  ubaguzi na uchochezi,mashtaka ambayo watuhumiwa wamekanusha mno kwa kueleza kuwa wanashtakiwa kwa ajili za kisiasa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.