Mwanamke na mumewe wamefikishwa kwa kituo cha polisi asubuhi ya leo baada ya kuacha mwana wao wa mwaka mmoja na nusu baani.

Imeripotiwa mwanamume, Jean alikwenda baani baada ya kugombana na mkewe, Jacqueline.

Baada ya kujua kwamba mumewe amekwenda baani kunywa pombe, Jacqueline alikuja kwa hasira na kumuachia mtoto  na kuenda zake.

Jean pia amemuacha mtoto baani ili kumuafa mkewe.

Walinzi wa usiku wamewakamata.

Polisi imewashauri kurudi nyumbani na kuapatia mtoto wao.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.