kwamamaza 7

Kigali: Wananchi wamkamata mlinzi wa usalama mlevi na kumpeleka kituo cha polisi

0

Wakazi eneo la Muhima, mjini Kigali wamemkamata mlinzi wa usalama, Vedatse na kumpeleka kituo cha polisi cha Muhima.

Wakazi wameambia vyombo vya habari kwamba huyu mlinzi alikuwa amelewa na kuanza kuzua fujo baani.

Katibu Mtenfaji wa Tarafa ya Muhima, Grace Mukandoli amesema hajajua bado hizo taarifa.

Wakazi wa eneo hilo, wameambia vyombo vya habari mjini humo kwamba kuna walinzi wa usalama maarufu kama DASSO ambao wana tabia mbovu.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.