kwamamaza 7

Kigali: Ulevi wamfanya kumlalia mwanawe akafa

0

Mwanaume mkazi Tarafa ya Gikondo mjini Kigali amemlalia mwanawe wa miezi mitatu.

Kwa mujibu wa Gazeti la Umuseke huyo mwanaume amefika nyumbani mlevi na kuingia chumbani halafu akamlalia mtoto.

Mkewe amempeleka hospitalini lakini akaga dunia kabla hajafika.

Katibu Mtendaji wa Tarafa ya Gikondo, Feston Mapambano amehakikisha tukio hilo kwa kusema ni ajali.

Amesema familia ya malehemu ina watoto wanne na inaishi maisha duni.

Mwanaume amekamatwa ili kuhojiwa kuhusu kisa hicho.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.