HABARI

Kigali: Polisi ya Rwanda imewapa wamiliki vifaa vilivyo ibwa

Leo tarehe 20 Januari 2017, kwenye kikao cha polisi ya Rwanda Kacyiru, polisi imerudishia wamiliki vifaa vyao vilivyo ibwa, pakiwemo Kompyuta 12, televisheni kubwa 18, na zaidi ya simu 10 za mkononi.

Ofisa wa polisi Hitayezu ameonya wizi na kuwaambia kuwa si vyepesi kuiba na kuenda bila kukamatwa ku kuwa polisi ya rwanda haisinzie, inaomba wakaaji kutoa taarifa mapema ili kupambana na vitendo hivyo vibovu.

Hitayezu alisema kuwa usamani wa vifaa ni kuwa vilinunuliwa madukani na anashukuru wahusika kwa kuwa na uwasiliano na polisi  kwa ajili ya usalama.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top