kwamamaza 7

Kigali: Mwanamke afariki akiwa kanisani

0

Mwanamke kwa majina ya Anne Uwimana jana saa nane mchana aliaga  dunia alipokuwa kanisani  Methodiste, Wilayani Gasabo mjini Kigali.

Wakristo wenzake wamesema walimuona akianguka chini kidogo wakadhani ni uhaba wa hewa.

Walipoita gari la waginjwa, Uwimana alikuwa ameisha fariki.

Kiongozi wa kijiji, Etienne Nzajyibwami amesema malehemu amehakakisha taarifa hizo na kuwahamasisha wananchi kufanya vigezo vya maisha yao kwa kuhakikisha hali ya maisha.

Mwili wa maelehemu umepelekwa hospitalini ili kuchunguza chanzo cha kifo.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.