Msichana wa miaka 19 amemtaka  nyara mtoto wa miaka miwili kwa lengo la kulipwa fidia.

Wazazi wa mtoto wamesema alitimiza wiki mbili akifanya kazi nyumbani na hawakuwa na deni lake hadi jana aliopmteka nyara mtoto wao wa kike.

Msemaji wa Polisi Mjini Kigali, CP Marie Gorette Umutesi amejakikisha tarifa hizo kwa kudai msichana amekamatwa akijaribu kuelekea kwao kusini mwa Rwanda akiwa na mtoto.

Aliyemteka nyara mtoto

Mtoto amepelelekwa hospitali kufanyiwa uchunguzi wa hali ya maisha yake.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.