kwamamaza 7

Kigali: Ampokonya msichana mdogo FRW 200 kisha akambaka

0

Imeripotiwa kwamba mwanamume kwa jina la Fidel amembaka msichana ayitwaye Claire, wa miaka14 baada ya kumpokonya Frw elfu mbili.

Magazeti ya ndani nchini Rwanda yametangaza kuwa Fidele alimdanganya kumpa kazi Claire na kumpeleka kwake halafu akambaka.

Wanausalama wamesikia mayowe ya mtoto huyo, wakamkamata Fidel.

Kwa sasa, Fidel amefungwa wakati ambapo Claire amelazwa Hospitali Wilayani Gasabo.

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.