HABARI

Kenya:Mwanamume afungwa jela miaka minne kwa kuiba sufuria mbili

Mwanamume kwa jina la Francis Mukambi Kibiki, 33 amehukumiwa kufungwa gerezani kwa kuiba na kuingilia nyumba ya jirani wake,Mary Akinyi.

Uamuzi huu umetolewa na hakimu wa eneo la Nanyuki baada ya kusikiliza ushahidi wa mkazi kwamba alimuona Francis tarehe 22 Juni mwaka 2015, Francis Mugambi akingilia nyumba ya Mary Akinyi  mnamo kijiji cha Likii na kuiba sufuria  mbili zenye bei ya Sh1,6oo kila moja.

Mahakamani Akinyi kwa hisia nyingi amefafanua ilivyokuwa vigumu kwake kukusanya sh3, 2oo ili kununua sufuria nyingine na kuwa alikuwa akitegemea mno chakula cha mayai alichojipigia wakati huo.

Chimbuko:The star.co.ke

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top