HABARI

Kayonza:Wakazi waomba kugawanya kijiji chao vipande viwili kwa kurahisisha upatikanaji wa viongozi

Wakazi wa kijiji cha Gakoma II,tarafa ya Murundi wametoa hoja ya kugawanya vipande viwili kijiji chao ili kupunguza safari wanazozifanya wakitafuta viongozi wa kijiji chao.

Wakazi hawa wameleza kuwa wanatumia tikiti fedha frw3, 000 ili kumuona kiongozi wa kijiji na kuwa baadhi yao hawajui hata sura yake kwa kuwa anaishi mbali.

Kwa mjibu wa taarifa za Radio na Tv one,Diwani wa wilaya ya Kayonza,Jean Claude Murenzi amefafanua kwamba wameisha wajengea kijiji cha kisasa na kuwa yeye hana uwezo wa kugawanya kijiji hiki.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top