HABARI

Katibu mtendaji wa mji wa Kigali ameacha huduma zake

Matabaro Jean Marie Vianney, katibu mtendaji wa mji wa Kigali amewaandikia kamati ya washauri akiaga kazi zake.

Msemaji wa mji wa Kigali amesema ya kuwa ni kweli, huyo katibu mtendaji ameacha huduma kwa niaba yake.

Bruno Rangira eti, “ni kweli kiongozi huu ameandika akiomba kukubaliwa ili aende katika mambo mengine na inakubaliwa, aliandikiya kamati ya washauri, wakati wa mkutano watahakikisha”, amesema kuwa alikuwa  katika huduma ya ukatibu mtendaji tangu mwaka wa 2010 hadi sasa.

Kiongozi huo ameacha kazi wakati aliye kuwa kiongozi wa mji alifanywa balozi wa Rwanda nchini Zambia, kama vile ilihakikishwa katika mkutano wa mawaziri tarehe 3 Februari 2017.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top