HABARI

Kamonyi:Mwendesha mashtaka amtakia Ruterana kufungwa maisha jela

Mwendesha mashtaka amemtakia adhabu ya kufungwa maisha jela Ruterana ambaye anatuhumiwa kumuuua muendesha pikipiki  kwa jina la Nyandwi.

Akiwa mahakamani kuu ya Muhanga,Ruterana anakubali kuwa na hatia ila mwendesha mashtaka ameleza kuwa alilolifanya lilisababisha kifo cha Nyandwi na kwa hiyo mshtakiwa anastahili kufungwa maisha jela kulingana na makala ya 140.

Uamuzi wa kesi hii,utatolewa tarehe 24 Novemba 2017.

Ruterana alimuua Nyandwi kwa kumdai kuwa allikuwa akifanya ngono na mwanamke wake.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

@Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top