kwamamaza 7

Jitihada za kupambana na biashara ya binadamu kutilia mkazo  nchini Rwanda

0

Kamishna wa polisi ya kimataifa(Inter-Pol) nchini Rwanda,Peter Karake ameleza kwamba haina budi kuanzisha mikakati mbalimbali za kupambana na mambo ya biashara ya binadamu kwa kuwa ni wazo linalokumba dunia nzima.

Wanawake asili ya Burundi walionusuliwa na polisi ya Rwanda/Picha:Intaneti

Kamishna ametangazia The New Times kuwa kuna mikakati ya ndani na ya nje iliyoanzishwa ili kupambana na tatizo hili kama vile kuweka sheria husika,kujulisha wakazi uzito wa jambo hili na kutilia mkazo ushirikiano na polisi wanje ili kunusuru wathiriwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Peter Karake ameongeza kwamba kupitia ushirikiano huu tangu mwaka 2014 waliweza kunusuru watu 88 na kuwa wengi mwao ni waschana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na hayo,wengi mwa wathiriwa walinusuriwa kutoka nchini Uganda,Msumbiji,Afrika kusini,Omani,Dubai,Malaysia na nchi nyingine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ripoti ya UNODC 2016 husika na biashara ya binadamu inaonyesha  kuwa watu 2,580 walifanyiwa kitendo hiki katika nchi za chini ya jangwa la Sahara.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.