kwamamaza 7

Jitahidi  kupata ushindi kupitia njia ya imani

0

Zaburi 144:1

“Asifiwe Mungu Mwamba wangu, Anayeifundisha mikono yangu kwa ajili ya kupigana,Vidole vyangu kwa ajili ya vita.”

Una adui. Shetani anataka kukupokonya kila kitu Mungu alichokupangia.

Usimkubali. Tumia silaha zako… Neno la Mungu, Imani yako ili kupata mavuno wakati anapochelewa. Shetani anaogopa wanavita. Kila unachopata maishani haina budi kupitia vitani.

Mwenzangu, nataka uniambie unachofikiri leo kupitia imeili yangu Estachenib@ yahoo.com ama ujumbe mfupi kupitia Whatsapp nambari  + 4128718098

Unaweza pia kuniambia yale madogo unayokabiliana nay oleo ili nikuombe.

Wewe ni wa thamani kwetu.

Neno la Mungu kutoka  Nibintije Evangelical Ministries

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.