kwamamaza 7

Jen Kale Kayihura kuishi jela la kijeshi miaka miwili

0

Baadhi ya maafisa wa upelelezi kwenye kesi ya Jen. Kale Kayihura wameweka wazi upelelezi unaweza kumaliza miaka miwili  kutokana na masuala mengi yaliyomo.

Hawa waminifu  wametangazia  Spyreports  muda huu unaweza kufika kulingana na mtindo wa kuripoti mwisho wa  kila jambo linalofanyiwa upelelezi kwenye hii kesi.

“ Huyu bwana ana masuala mengi ya kujibu, tunapochukua muda wetu na kufanya upelelezi kwa kila jambo, inaweza kupata miaka miwili”

“ Hatuna budi kuripoti kila suala kwa Jen. Muhoozi na akamuambia Rais Museveni” ameongeza

Pamoja na haya, Rais Museveni amepiga marufuku kuwakaribisha viongozi kutoka wilayani Kisoro wanaolenga kumuombea msamaha Kayihura.

Kwa sasa  jen. Kale Kayihura ni mfungwa nyumbani kwake Muyenga,mjini Kampala.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.