kwamamaza 7

Jen. Kale Kayihura ataka kufikishwa mahakamani kama kuna anayoshtakiwa

0

Aliyekuwa  mkuu wa Polisi ya Uganda Jen. Kale Kayihura amewaambia wanasheria wake kwa jina la KAA kuwa yeye ni tayari kufika mahakamani kam kuna mashtaka yoyote.

Kayihura amewapa amri ya kutoitaka mahakama kumfikisha mahakamani kwani Rais Museveni ndiye atakayeamua kuhusu hili.

Jen. Kayihura ambaye ni mwanasheria pia anajua namna ambavyo hili linaweza kuathiri kesi yake.

Mmoja mwa wanafamilia yake ametangazia Spyreports kuwa Kayihura anajua atakachoamua Rais Museveni Yoweli.

Kwa sasa, serikali ya Uganda haijatangaza itafanya nini kuhusu Jen. Kayihura baada ya wiki mbili za kukamatwa kwake.

Kayihura alikuwa Mkuu wa Polisi miaka kumi na tatu iliyopita. Alikamatwa kutoka kwake Wilyani Lyantonde na kurejeshwa kwenye kituo cha cheji  Mbuya, Kampala ili kuhijiwa kuhusu mashtaka ambayo hayajatangazwa bado.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.