HABARI MPYA

Israeli yamuona Rais Kagame kama mpatanishi wake na Afrika

Waziri wa wa mambo ya nje wa Israel,Benjamin Netanyahu alitangazia nchini Kenya kwamba Rais Kagame angali baadhi ya wajenzi bingwa atakayewasaidia kujenga uhusiano na nchi nyingine za Afrika.

Maneno yake yanahusiana mno  na siasa yake waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ya kuimarisha ushirikiano na nchi za Afrika kupitia diplomasi.

Taarifa za RFI zinasema kuwa waziri huu alisema kuwamba waliona kuwa Rais Kagame anaweza kuwasaidia  sana kwa kushirikiana na nchi za Afrika.

Hotuba hii imetolewa baada ya Rwanda kukubali kuwakaribisha wakimbizi kutoka Israel maelfu 10 na Israel kutangaza kuwa itaanzisha ubalozi nchini Rwanda siku za usoni.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook n

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top