kwamamaza 7

Hisia za binti Rais Kagame kwa mumewe baada ya harusi

0

Binti wa Rais wa Rwanda, Ange I.Kagame amemuambia meneno matamu mumewe, Bertrand Ndengeyingoma baada ya siku moja ya kufunga ndoa.

Mambo ya harusi yalifanyika Mjini Kigali Ukumbini Kigali Convention Center (KCC) tarehe sita Julai mwaka huu.

Ange Kagame kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika “  Nimemuona aliyempenda roho wangu.”

Kwa kawaida hayo ni maneno kutoka Biblia Kitabu cha Wimbo wa Salomo 3:4

Ange Kagame alizaliwa mwaka 1993 nchini Ubelgiji. Ni msichana mmoja katika familia yake ya watoto wanne.

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.