HABARI

Hewa mbaya kati ya EU na Burundi yasukuma kuwatosha wanajeshi Somalia

Leo Juma tatu, serikali ya Burundi imetoa taarifa ya kusema kuwa wameamua kuwatosha wanajeshi wao wenye walikua utumani nchi Somalia katika kundi la AMISOM.

Burundi imeamua hivyo kufuatana na wanajeshi wake wenye kuwa kwa utumwa wa amani Somali, kutopata mishahara yao mieze kazaa na mpaka sasa husema kuwa Nchi za umoja wa ulaya hawapendi kutoa mishahara hio kwa ajili ya Burundi kama vile husema AFP.

Umoja wa Ulaya walipendelea kutotia pesa hizo ya wanajeshi kwenye akaunti ya serikali, walipenda penda zitiwe kwenye akaunti za wanajeshi ila serikali ya Burundi ikakanusha hayo kufuatana na hali ya siasa.

Juma tatu ndipo rais Nkurunziza aliamuru waziri wa mataifa pia na waziri wa jeshi kufanya hayo kwa kuwa masikilizano kati ya Burndi n anchi za umoja wa Ulaya haikufikia lengo fulanai.

Nchi ya Burundi ina wanajeshi wapatao 5400 huko Somalia na ni wamoja wa AMISOM, na hasa wanajeshi hao tayari wameanza toka Somalia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Maombe
1 Comment

1 Comment

  1. Gregory

    January 18, 2017 at 10:00 am

    Serikari ya Burundi ikubali jeshi apewe pesa mkononi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top