HABARI

Helikopta 2 za Jeshi la DRC zimefanya ajali wilayani Rutshuru

Ijuma tarehe 27 Januari 2017, ndipo ndege mbili za aiana ya Helikopta za jesshi la serikali ya Congo ( FARDC) zilipatwa na matatizo angani na zikaanguza na kusambuka katika wilaya ya Rutshuru.

Walio jeruhiwa ni ofisa watatu wa FARDC na wengine ni askari wa timu ya jeshi la Urusi, na wote wapo katika hospitali kubwa ya Goma kama vile husema radio Okapi.

Hata kama chanzo cha ajali bado kutangazwa, kuna vifaa vimoja ambavyo vimekosekana na hivi huendelea na kuvitafuta.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top