kwamamaza 7

Hatutapoteza njia tena- Kagame

0

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewambia wananchi  kwamba wanapaswa kutopoteza njia tena.

Katika hotuba yake kwenye Sikukuu ya Kujikomboa, Kagame amesema vita vya kujikomboa ilikuwa ni lazma.

“  Hata na muda  mwingine tukiwepo tutapambana.”Kagame amesema

Amewakumbusha Wanyarwanda kutoweka ulinzi chini kutokana na kuwa inahitaji kuendelea kufanya kazi za maendeleo ya nchi.

Kwa ujumla, Kagame ameshukuru jeshi na wananchi na kuwatakia sikukuu nzuri.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.