kwamamaza 7

Hasara kubwa yakumba  biashara juu ya msuguano kati ya Rwanda na Uganda

0

Kamati ya Biashara katika Muungano wa Afrika Mashariki imetangaza kuna hasara ya miliyoni kadhaa za dolari kwa wafanyabiashara kwa upande wa Rwanda na Uganda kutokana na msuguano kati ya hizi nchi mbili.

Kwa mujibu wa televisheni, NTV hii kamati inatarajia uchambuzi wake kuhusu hasara hii kwa pande mbili hususani kwenye Mpaka wa Gatuna.

Mkurugenzi kwa Wajibu wa Mawasiliano katika kamati hii, Simon Kaheru amesema utafiti wa mwanzo unaonyesha kisa cha mpaka wa Gatuna kilisababisha madhara kwa pande mbili.

Hata hivyo, Rwanda haikukbali kwamba ilifunga mpaka wa Gatuna. Ilisema kuna kazi za ujenzi zinazoendelea huko.

Siku chache zilizopita, viongozi walitangaza hazi hizi zinafika mwisho wake.

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.