kwamamaza 7

Harmonize aeleza kwa nini hakumsalimu Ali Kiba

0

Muimbaji  Harmonize amefunguka sababu ya kutomsalimu kwa kiganja msaani Ali Kiba walipokutana katika msiba wa Agnes Masogange.

Huyu msaani ameiambia  Times FM nchini Tanzania kuwa alimsalimu Ali Kiba bali hawakutumia mikono yao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Unajua asilimia kubwa ya watu wanaozungumza hawakuwa pole, unajua unapomzungumzia Alikiba ni mtu ambaye amefanya muziki wetu upate heshima kwa namna moja au nyingine kama msanii namuheshimu siwezi nikakutana na mtu halafu nisimsalimie, sio kweli,” amesema.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Kilichofanyika ni kwamba Diamond kamsalimia kwa mkono, wamesamiliana kwa mkono. Mimi nimekuja nimezunguka nikaona kwa kuwa Diamond kamsalimia kwa mkono, kamgeuzia kiganja mimi nikamsalimia kwa sauti tu” amesisitiza Harmonize.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diamond na Alikiba walikutana April 22, 2018 katika viwanja vya Leaders Dar es Salaam ambapo palikuwa panafanyika misa ya kuuaga mwili wa  Agness Gerald maarufu kama Masogange.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.