kwamamaza 7

Hamsemi lolote kuhusu kuachiwa huru kwetu- Auliza aliyekuwa kiongozi wa walinzi wa Rais Kagame

0

Aliyekuwa kiongozi wa walinzi wa Rais Kagame, Kanali Tom Byabagamba ajiuliza amuuliza hakimu kwa nini hazungumzi kuhusu kuachiwa huru kufuatia ombi lao.

Mahakamani leo, ilikuwa inatarajiwa kutangaza uamuzi kwa kesi yake. Hilo halikuwezekana kutokana na kuwa mshitakiwa mwenzake, Sajenti Kabayiza amepatiwa fursa kusema kuhusu mashtaka yake.

Jaji amemjibu Kanali Byabagamba kuwa kesi yaiwezi kuendelea kutokana na ugonjwa wa Kabayiza.

Ameamua kesi itaendela tarehe Julai mwaka huu.

Kanali Byabagamba anashtakiwa kuhatarisha usalama wa nchi, usaliti na vitendo vya ugadi n.k

Hata hivyo, analaani mashtaka yote kwa kusema hakuna ukweli.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.