HABARI

Halaki ya watu yashuhudia kuapa kwake rais mpya wa Zimbabwe

Watu maelfu mengi karibu 60,000  kutoka maeneo mbalimabli duniani hasa raia wa Zimbabwe wameshuhudia sherehe ya kula kiapo kwa Rais Mpya wa Zimbabwe,Emmerson Mnangagwa Ngwena

 Rais Mnangagwa ameahidi kuboresha mambo ya uchumi na uchaguzi huru

Asili:BBC

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top