kwamamaza 7

Hakuna hasara ya kutohudhuria  mkutano nchini Rwanda-Burundi

0

Makamu msemaji wa ikulu ya Burundi, Alain Nzeyimana ametangaza Burundi haina hasara yoyote ya kuhudhuria mkutano wa kiuchumi ulioteokea nchini Rwanda kuanzia tarehe 19-21 Machi 2018.

Huyu kiongozi amesisitiza kuwa Brundi haiwezi kutohudhuria mkutano ambao una manufaa kwa umma.

Alain Nzeyimana ameeleza”Kwa kifupi,Kuna sababu iliyotufanya kutohudhuria huu mkutano.Hakuna hasara yoyote ya kutohudhuria mikutano ya kimataifa”

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Tulifanya maandalizi maalumu ila tutalia saini yale mambo baada ya kuchunguza umuhimu wake,tutawajulisha”ameongeza

Pia Rais wa Uganda, Yoweli Museveni hakuhudhuria huu huu mkutano juu ya sababu ambazo hazikueleweka waziwazi.

Kwenye mkutano huu nchi 44 zilitia saini kwenye mkataba wa soko moja la barani Afrika.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.