kwamamaza 7

Haistahili kukosoa bila kutoa suluhisho- Aliyekuwa Waziri Mkuu awambia wapinzani 

0

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Prof. Dk. Damien Habumuremyi amewakumbusha wapinzani wa Rwanda kuwa haina thamani kukosoa serikali bila kutoa suluhisho kwa yale wanayoyakosoa.

Prof. Habumuremyi ametangazia gazeti la Bwiza.com kwamba wapinzani wanapaswa kuelewa vizuri uzito wa kupata njia ya upinzani.

“ Cha kwanza ni kuelewa upinzani ni nini.Haitoshi kukosoa bila kutoa suluhisho kwa yale unayoyakosoa.” amewakumbusha wapinzani

Husika na wapinzani wa Rwanda, Habumuremyi amesema “ Wapinzani wa Rwanda wana tatizo kubwa la kuishi huko ugenini tu bila mpango na miradi ya kusaidia jamii.”

Amewashauri kuacha kukosoa tu baali watoe mbinu za kutatua changamoto zinazoangamiza nchi yao.

Ameongeza si lazima kuikosoa nchi kwani itabaki yako na kufanya hilo ni kufuata somo la kitabu “Wakati Ukuta.”

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.