HABARI

Gakenke:Wakazi walalamikia uhaba wa maji kwenye zahanati ya Gatonde

Wakazi wanaotumia zahanati ya Gatonde,mkoa wa kaskazini wametangaza kuwa na wasiwasi nyingi kutokana na uchefuchefu wa maji kwenye zahanati yao.

Wakazi wametangaza kuwa wanachota maji bondeni Muhororo,mahali ambako ni mbali mno,jambo linaloathir vibayai wagonjwa na wasaidizi wao.

Mkurugenzi  wa zahanati,Edith Uwingabire ameleza mambo kinyume kwa kusema kuwa kuna maji asilimia mia na kuwa kuna wakati ambapo maji yanakosekana kwa sababu ya kazi za ujenzi wa hospitali inayojengwa karibu na zahanati.

Mkurugenzi huyu ameleza kuwa madai ya wakazi ni uong’o mtupu kwa kuwa hawajawahi kosa maji siku nzima.

Diwani wa Gakenke,Deoagratias Nzamwita ameahidi kuwa maji yatapatikana kamili zitakapomalizika kazi za kujenga hospitali zitakapomalizika mwezi Februari 2018.

Zahanati ya Gatonde hutoa huduma kwa wakazi elfu 20,000.

 

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top