HABARI MPYA

Fikra zetu mbalimbali ni kifaa cha kuendelea kuijenga nchi-Jeannette Kagame

Jeannette Kagame amewataka washiriki wa Unity Club kutilia mkazo umoja wa Wanyarwanda kwa kuwa itakuwa msingi wa maendeleo ya nchi.

Kwenye kikao cha washiriki hawa,Jeannette Kagame amesema kuwa miaka 21 imemalizika Wanyarwanda wakiungana mkono na kujalia maendeleo ya Rwanda kupitia fikra mbalimbali,jambo lililowezesha Wanyarwanda kupata maendeleo.

Pia,Jeannette Kagame ameshukuru serikali ya Rwanda iliyotilia mkazo umoja wa Wanyarwanda na kuomba viongozi wengine kuwa watu wenye busara ya kufikiria mbali.

Kwenye mkutano huu,Unity Club imepokea washiriki wapya 18 ambao ni mawaziri wapya katika mamlaka hii.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top