HABARI

Familia 13 za wanamgambo wa FDLR warejea nchini Rwanda

Familia 13 zenye watu 52 zimerejea nchini Rwanda baada ya kusikia taarifa za kuwa amani yanavuma nchini.

Mmoja wao,Kapiteni Bosco Mwesa Hitimana ameleza kuwa walipokea mala nyingi simu za watu wakiwakaribisha nyumbani kisha wakamua kujiepusha na hali ya kuishi mwituni.

Ameongeza kuwa wamerejea kwa nia yao bila nguvu na kuwa anahamasisha wenzake kurejea nyumbani kwa kuwa hakuna tatizo lolote.

Taarifa za Okapi zinasema kuwa waliorejea kuna wanajeshi wa cheo cha major,capt.na sajenti mmoja.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top