HABARI MPYA

DRC: Wapiganaji wa Mai-Mai wamewaua watu 35

Juma pili tarehe 27 Novemba 2016, wapiganaji wa MAI-MAI walivamia raia sehemu ya Luhanga katika wilaya ya Lubero kivu ya kasikazini na wakaua wakaaji 35.

Taarifa husema kwamba hawa waliouawa ni raia wote pakiwemo mpiganaji mmoja aliyefariki.

Bokele, kiongozi wa wilaya ya Lubero amesema kua wampiganaji hao walivamia kambi la jeshi la Congo (FARDC) wakapambana na ndipo wengine wapiganaji walizungukaa ili kuwaua raia wa sehemu hio kama vile AFP husema.

Taarifa husema kwamba sherti upelelezi ufanywe na wale wanajeshi na wengine wanaohusika na kuwalinda raia waazibiwe kwa kuwa walizubaa na waharibifu wakaingia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Leki@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top