kwamamaza 7

DRC: Mbunge awashtaki wanamgambo asili ya Rwanda wizi wa madini

0

Mbunge nchini DR Congo, Koko Cirimwami, anayewakilisha eneo la Kalehe, amesema alipokea habari kwamba FDLR inachimba madini nchini humo.

Amesema wanamgambo wa FDLR wanachimba dhahabu na madini mengine  halafu wakaangamiza wananchi maeneo ya Bunyakiri, Kalehe na Lumbishi.

“ Tunapinga uwepo wao kwani wanangamiza wananchi. Wananufaika kwa ardhi yao na wanachimba madini milimani Kalehe.” Mbunge Cirimwami amesema

Mbunge huyo, amesema fedha kutoka biashara ya madini hayo hutumiwa katika visa vya kuharibu usalama.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.