HABARI MPYA

Diwani wa wilaya ya Rubavu ajiuzulu

Kiongozi wa wilaya ya Rubavu,Jeremie Sinamenye tarehe 29 Agosti 2017 ameandikia halmashauri ya wilaya kwamba amejiuzulu kwenye nafasi ya diwani na mshauri wa wilaya  .

 

Kiongozi wa wilya ya Rubavu aliyejiuzulu

Ni habari zinazosisitizwa na kiongozi mkuu wa halmashauri ya Wilaya ya Rubavu,Lambert Dushimiyimana kwamba Sinamenye amejiuzulu.

Sababu ya kujiuzulu haijatangazwa lakini Sinamenye anahusika na kutohudhuria kazi,kuzuia wagombea wa uchaguzi wa rais mwezi uliopita,kuwa na uhusiano wa matatizo ya mashamba ya eneo la Nyamyumba na kutoshirikiana na viombo vya habari.

Jeremie Sinamenye alikuwa diwani wa wilaya ya Rubavu mwezi Meyi 2015 na kuchukua nafasi ya Sheikh Bahame Hassan.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top