kwamamaza 7

Dada anaomba shauri kwa kuwa anatoa maji mengi wakati wa ngono

0

Akizungumza hayo iliwezekana hakuelewa ni nini kinatokea, basi anahitaji msaada wenu mukimushauri la kufanya, kwa hiyo ushirikiano wenu ni bora.

Alianza eti “ mimi naitwa Suzy, mimi naomba kuuliza wakati nikiwa kwenye tendo zima la kujamiiana nashangaa kuona maji mengi kiasi kwamba naweza hata kuyakamua baada ya tendo kila ninapojaribu kumwweleza mwenzangu ni kitu gani ananiambia hajui.naomba ushauri ni ugonjwa aunikitugani pia yananinyima raha yalile tendo.

Ninaamini ya kwamba msaada wenu utamufaulu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.