kwamamaza 7

Chuo cha Rwanda Kuutangaza utafiti wote wa wahitimu

0

Utafiti wa wahitimu wa chuo cha Rwanda  ambao haukuwa ukitangazwa bali tu kuhifadhiwa katika maktaba ya chuo cha Rwanda, mara hii kumeamriwa kwamba kila utafiti utakaofanywa kwa ajili ya wanachuo kuhitimu utakuwa ukitangazwa kwenye tovuti ya UR ili kuchangia kwa namna yoyote ikiwemo ya kuendeleza utafiti.

Wahitimu wa Chuo cha Rwanda waliohojiwa na Bwiza.com walionyesha kufurahia hatua hiyi ya UR kuutangaza kila utafiti utakaofanywa na kila mwanachuo anayehitimu na hivyo kusaidia utafiti wa baadaye.

Ni desturi kwa wahitimu kufanya utafiti wa kurikodiwa kwa maandishi,picha ama videwo kama sehemu ya matakwa kukamilisha masomo yao ya chuo.

Utafiti huo utakuwa ukitangazwa kwenye tovuti ya dr.ur.ac.rw

Mkurugenzi wa maktaba ya UR Dr Namuleme amesema “kila mhitimu atakuwa akitukabidhi nakala ya utafiti wake wa kielekitroniki (soft) na kuutangaza kwenye tovuti”

Mradi huu kama anavyosema mkurugenzi huu utahitaji uwezo wa kifedha wa ziada kwa kuwa kutahitajika kunukuu maandishi ya vitabu vya wahitimu(memoir) wa awali kwa skana na kuutangaza kwenye intaneti.

Imo pia mipangoni mwa chuo hiki kuhifadhi maandishi yote yenye kuonyesha taswira ya Rwanda mila na desturi za Wanyarwanda na mambo mengine yanayofanyika hapa Rwanda, ili kuvifanya kuonekana kwa wageni.

Suala la utafiti ndilo lililokuwa mada kuu katika kikao cha kujadili elmu bora ya vyuo barana Afrika, kilichokuwa kikifanyika hapa mjini Kigali. Kulidokezwa katika kikao hiki kwamba katika utafiti unaofanywa duniani kote Afrika huchukua asilimia 1 tu.

Utafiti huu ambao umekuwa ukihifadhiwa katika maktaba za chuo hiki kwa sasa unatarajiwa kuchangia kwa kulingana na makusudi ya waandishi wake ama kwa namna nyingine yote.

Katika utafiti uliozinduliwa hivi awali umeonyesha kwamba vyuo vya Afrika havina msimamo mzuri wa malengo ya vyuo kwa kuwa vyuo kumi tu vya Afrika ndivyo vilivyoweza kupatikana katika 1000 bora vya dunia.

Utafiti wa wahitimu wa chuo cha Rwanda  ambao haukuwa ukitangazwa bali tu kuhifadhiwa katika maktaba ya chuo cha Rwanda, mara hii kumeamriwa kwamba kila utafiti utakaofanywa kwa ajili ya wanachuo kuhitimu utakuwa ukitangazwa kwenye tovuti ya UR ili kuchangia kwa namna yoyote ikiwemo ya kuendeleza utafiti.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wahitimu wa Chuo cha Rwanda waliohojiwa na Bwiza.com walionyesha kufurahia hatua hiyi ya UR kuutangaza kila utafiti utakaofanywa na kila mwanachuo anayehitimu na hivyo kusaidia utafiti wa baadaye.

Ni desturi kwa wahitimu kufanya utafiti wa kurikodiwa kwa maandishi,picha ama videwo kama sehemu ya matakwa kukamilisha masomo yao ya chuo.Utafiti huo utakuwa ukitangazwa kwenye tovuti ya dr.ur.ac.rw

Mkurugenzi wa maktaba ya UR Dr Namuleme amesema “kila mhitimu atakuwa akitukabidhi nakala ya utafiti wake wa kielekitroniki (soft) na kuutangaza kwenye tovuti”

Mradi huu kama anavyosema mkurugenzi huu utahitaji uwezo wa kifedha wa ziada kwa kuwa kutahitajika kunukuu maandishi ya vitabu vya wahitimu(memoir) wa awali kwa skana na kuutangaza kwenye intaneti.

Imo pia mipangoni mwa chuo hiki kuhifadhi maandishi yote yenye kuonyesha taswira ya Rwanda mila na desturi za Wanyarwanda na mambo mengine yanayofanyika hapa Rwanda, ili kuvifanya kuonekana kwa wageni.

Suala la utafiti ndilo lililokuwa mada kuu katika kikao cha kujadili elmu bora ya vyuo barana Afrika, kilichokuwa kikifanyika hapa mjini Kigali.

Kulidokezwa katika kikao hiki kwamba katika utafiti unaofanywa duniani kote Afrika huchukua asilimia 1 tu.

Utafiti huu ambao umekuwa ukihifadhiwa katika maktaba za chuo hiki kwa sasa unatarajiwa kuchangia kwa kulingana na makusudi ya waandishi wake ama kwa namna nyingine yote.

Katika utafiti uliozinduliwa hivi awali umeonyesha kwamba vyuo vya Afrika havina msimamo mzuri wa malengo ya vyuo kwa kuwa vyuo kumi tu vya Afrika ndivyo vilivyoweza kupatikana katika 1000 bora vya dunia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.