kwamamaza 7

kwamama4

Browsing Category

BURURUDANI

Ali Kiba kufunga ndoa wiki hii

Kuna taarifa kuwa muimbaji mahiri nchini Tanzaniya,Ali Kiba atafunga ndoa na mrembo kutoka nchini Kenya kwa jina la Amina asili ya Kenya. Ali Saleh Kiba maarufu kama Ali Kiba, 32, inatarajika kufunga na mrembo kutoka Mombasa kama…

Zari amuaga Diamond Platnumz

Sikukuu ya wapendanao  kwa upande wa Zari The Bosslady na Diamond Platinumz   imegeuka shubiri. Hili ni baada ya Kupitia mtandao wa Instagram, Zari kuthibitisha kuwa ameamua kumwagana na bosi huyo wa WCB ambaye tayari wamefanikiwa kupata…