Mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi amewakosoa wasanii wa Rwanda alipokuwa kwenye sherehe ya Seka Festival mjini Kigali wiki iiliyopita. Eric Omondi Ongao,40,...
Muimbaji Ngabo Medal maarufu kama Meddy ameonyesha hisia zake nyingi kuhusu wimbo wa muimbaji Jules Sentore kwa jina ‘Warakoze mana’ yaani Asante...
Muimbaji Safi Niyibikora maarufu kama Safi Madiba jana ameongea kuhusu fununu zilizozagaa kwamba mke wake Judith Niyonizera ni mja mzito. Safi Madiba...
Kama nchi jirani Uganda inawasilisha kazi za sanaa mbalimbali kutoka Rwanda hasa nyimbo.Mala hii Bwiza.com imeamua kuwajulisha orodha ya waimbaji wenye nyimbo...
Fundi mitambo Adams ametangaza kwamba Muimbaji Itahiwacu Bruce maarufu kama Bruce Melody ni baadhi ya wasaani wenye uhenga na kipaji cha muziki...
Wazazi wa muimbaji Diamond Platinumz wamenung’unika juu ya kitendo cha Zari Hassan cha kuwapeleka watoto wake yaani wajukuu wao kanisani la Wakristo...
Aliyekuwa mke wa Hamadi Ndikumana Katawuti,Irene Uwoya maarufu kama Oprah nchini Rwanda ameweka wazi kwamba hataki mumewe kwa sasa, Msaani Dogo Janja...
Muimbaji Mani Martin ametangaza kutopenda mambo yote yanayogawa watu kama vile dini Akijibu kwa nini hana dini,Mani Martin amemjibu mtangazaji wa radio...
Muimbaji Safi Niyibikora maarufu kama Safi Madiba ameonyesha anavyopenda timu ya Rayon Sports baada ya kuonekana akishuhudia dimbani la Amahoro mjini Kigali...
Mtangazaji Anitha Pendo ameweka wazi kutokubaliana na maoni ya mtume Dkt. Paul Gitwaza ambaye tarehe 4 Machi 2018 aliwauliza wafuasi kwa nini...
Baba mzazi wa muimbaji Lambert Mugwaneza maarufu kama Social Mula kwa jina la Claudien Munyaneza ameaga dunia jana kufuatia ugonjwa wa ini....