HABARI

Burundi:Maj. Desire Uwamahoro ameachiliwa huru

Tarehe 30 Oktoba 2016 ndipo taarifa kasambaza na kusema ya kuwa Maj. Desire Uwamahoro askari polisi wa Burundi amekamatwa na ngazi za upelelezi akishutumiwa udanganyifu, na baada ya miezi tatu amefunguliwa na kuachiliwa huru.

Major Desire Uwamahoro alishitakiwa kuiba dolla elfu 200 za mtu ambaye alikua akiuza zahabu huko Burundi, na akaazibiwa kifungo cha miezi tatu ijapokua walihitaji afungwe mwaka mmoja.

uwamaho

Major Uwamahoro alikuwa kwenye orodha iliyofanywa na UN akishitakiwa mauaji ya waandamanaji ya walio pinga mhura wa tatu wa rais Nkurunziza.

Ijapo kuwa mauaji yalianza 2015, Uwamahoro anashutumiwa pia mauaji mengine ya mbele ya hapo na alikua alihukumiwa kufungwa miaka 5, ila hakufanya azibio hilo, na kwa gafla akafanywa kuwa kiongozi wa askari polisi walio husika na kupambana na wapinzani wa Rais Nkurunziza.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top