kwamamaza 7

 Burundi: Wanamgambo saba kutoka Rwanda walidushishwa kwao

0

Serikali ya Burundi imewarudisha kwao wanamgabo saba kutoka Rwanda waliokimbilia nchini humo.

Hawa walikimbilia nchini Burundi baada ya vita vikali tarehe 8 Aprili 2019 kati yao na Jeshi la Rwanda maeneo ya mpaka kama inavyotangazwa na SOS Media Burundi.

Wanamgambo kutoka Rwanda waliokimbilia nchini Burundi

Baada ya kuvuka mpaka, walikamatwa na kufungwa na ofisi ya upelelezi nchini Burundi (SNR). Burundi imetangaza wanagambo walikuwa na bunduki tano za aina ya AKA 47 na radiyo Motorola ya mawasiliano.

Hawa wamerudishwa nchini Rwanda baada ya wananchi Mkoani Cibitoke karibu na Rwanda kutangaza kuishi na hofu baada ya wanamgambo wanaotumia Kinyarwanda kuonekana huko.

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.