kwamamaza 7

Binti Rais Kagame kufunga ndoa

0

Binti wa Rais wa Rwanda, Ange I.Kagame ataolewa mwezi ujao wa Julai, Baba yake, Paul Kagame aliweka hadaharani tarehe 27 Juni alipkuwa nchini Botswana.

Ni mala ya kwanza Rais Kagame kufunga kuhusu sherehe hii.

“ Ninegependa kuwa hapa siku nyingi lakini haiwezekani (…). Kwa kucheka, Nina binti mmoja [Ange Kagame] katika familia yangu ya watoto wanne. Huyo msichana atafunga ndoa. Hizo ni baraka. Mimi na mke wangu [ Jeanette Kagame] tunastahili kwenda kujianda.” Amemuambia Rais wa Botswana Masisi

Inatarajiwa kuwa harusi hii itafanyika tarehe sita Julai  mwaka huu Mjini Kigali Ukumbini Intare Conference Arena Rusororo.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.