kwamamaza 7

Binti Rais Kagame kufunga ndoa kesho

0

Inatarajiwa kwamba  binti wa Rais wa Rwanda, Ange I.Kagame ataolewa kesho tarehe 6 Julai na mvulana aitwaye Bertrand Ndengeyingoma aliyesomea Marekani.

Taarifa za ndoa yake ziliwekwa hadharani na babaye, Paul Kagame tarehe 27 Juni alipokuwa nchini Botswana kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Ilikuwa ni mala ya kwanza Rais Kagame kufunga kuhusu sherehe hii.

“ Ninegependa kuwa hapa siku nyingi lakini haiwezekani (…). Kwa kucheka, Nina binti mmoja [Ange Kagame] katika familia yangu ya watoto wanne. Huyo msichana atafunga ndoa. Hizo ni baraka. Mimi na mke wangu [ Jeanette Kagame] tunastahili kwenda kujianda.” Kagame Alimuambia  Rais wa Botswana Masisi

Bila mabadiriko ya ghafla, mambo ya  harusi yatafanyika Mjini Kigali Ukumbini Intare Conference Arena Rusororo.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.