BURURUDANI

Binti mrembo anawavuta waume wengi-PICHA

Binti mrembo katika wimbo wa ‘Kwetu’ wa Rayvanny, Irene maarufu kwa jina la Lyyn kwenye mtandao wa Instagram anazidi kuwa mtamu kila kukicha.

Japo mrembo huyo ameonekana kuwa kimya kwa kipindi kirefu lakini kupitia picha alizoziweka kwenye mtandao huo Lyyn ameonekana kuzidi kunoga na kuwatoa udenda kwa kumfanya kila kidume rijali kumtamani. Tazama picha za mrembo huyo hapa chini.

irene irene1 irene2 irene3 irene4 irene5

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top