Mwanamke wa muimbaji Jose Chameleone Daniella Atim ametangaza kuwa hawezi kupiga marufuku ombi la mpenzi wake Chameleone la kufunga ndoa tena.

Huyu mwanamke ameeleza hana kitu chochote cha kulinganisha maisha  kati yake na Chameleone miaka kumi iliyopita.

“ Sina lolote la kulinganisha na maisha yetu,tuliyaona mengi….Mala nyingi nilishindwa na ukaniamusha.Nakubali kufunga ndoa nawe tena”

Hili ni baada ya Chameleone kupitia Facebook kuandika akimuomba mkewe Daniella kumuvisha pete tena.

Jose Chameleone na mkewe Danielle walifunga ndoa mwaka 2008.Kwa sasa wana watoto watano.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.