kwamamaza 7

Badilisha mawazo yako ili kupata ushindi

0

Yobu 13:15

“  Tazama, ataniua; sina tumaini; ila hata hivyonitaithibitisha njia yangu mbele yake.”

Maisha ni vita. Vita ni mbegu za matumizi ya vita. Juu chini, haina budi kushinda.

Yobu ni mfano wa maumivu ya binadamu. Aligeuka fukara, bila wanawe juu ya kifo. Marafiki zake walikua wakimdharau. Kwa ushindi, Baraka zake zilikuwa mala mbili.

Mwenzangu, nataka uniambie unachofikiri leo kupitia imeili yangu Estachenib@ yahoo.com ama ujumbe mfupi kupitia Whatsapp nambari  + 4128718098

Unaweza pia kuniambia yale madogo unayokabiliana nay oleo ili nikuombe.

Wewe ni wa thamani kwetu.

Neno la Mungu kutoka  Nibintije Evangelical Ministries

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.