kwamamaza 7

Baada ya kuzuka kwa Kipindupindu katika wilaya ya Rubavu idara ya Afya yaonya Raia

0

Kupitia barua iyoloandikiwa uongozi wa wilaya ya Rubavu na raia wengine ikiwaonya kujihadhari kwa tishio la ugonjwa wa kipindupindu huu uliozuka hivi karibuni na kutibitishwa na madaktari wa hospitali ya Gisenyi. Hospitali hiyo imeiandikia barua wilaya ya Rubavu iliyopigiwa sahihi na mkuu wa hospitali hiyo ambaye ni Maj. Dkt.Kanyankore William

Barua kutoka kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Gisenyi

Kulikuwa na watu mbalimbali waliokutwa na ugonjwa huu baada ya mitihani ya madaktari wa hospitali ya Gisenyi kuwatibu na kuwakuta watu hao wana ugonjwa huu.

 

Aidha wizara ya afya imesema kwamba raia hawa ambao wameambukizwa ugonjwa huu waliupata kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na hivyo kuwaonya kupata chakula cha pale ambacho hakiko salama hasa kwa wakazi wa eneo hilo wanaosafiri  wanaosafiri nchini humo.

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.