BURURUDANI

AY  rasmi afunga pingu za maisha na ‘Mnyarwanda’

Muimbaji  Ambwene Yesaya maarufu kama AY jana amefunga ndoa na Mnyarwanda Remmy Umunyana mmarufu kama Remy Rwanda.

Sherehe hii ilifanyika katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar Es Salaam na kuhudhuliwa na mastaa mablimbali kama vile:-Lady Jaydee, Mwana FA, Salama Jabir, Profesa Jay (Joseph Haule), Fid Q na wengineo wengi.

Kwa upande mwingine watangazaji walikataliwa kushuhudia harusi hii.Uraia wa huyu mwanamke ulizusha utata baada yawengi kueleza kwamba Remy ni Mtanzania kinyume na kawaida kuwa huyu ni Mnyarwanda.

Wawili waemefunga ndoa baada ya miaka nane katika mapenzi

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Maombe
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

To Top