Msaani Ambwene Yesaya amefunguka kuhusu taarifa kwamba aliachana na mkewe kutoka Rwanda Remi Umunyana.

AY na Remi walifunga ndoa rasmi miaka miwili iliyopita chini Tanzania na walibalikiwa na mtoto wa kiume.

Akieleza kuhusu taarifa za kuachana na mkewe, AY ameambia Clouds FM kuwa ni uongo mtupu na ndiyo maana hakuzungumzia kuhus hili jambo punde si punde.

“ Kuna wakati ambapo watu wanasema mambo fulani na ukajiuliza yanatoka wapi. Ni fununu tu, stori zilkuja kisha zikapita. Ningekuwa mtu mwingine ningeliwaita watangazaji.”

AY na mkewe walipendana miaka 8 na kufunga ndoa mwaka 2017.

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.