kwamama 6

Meya wa Rubavu aachiliwa huru

Ikiwa kumekuwa kukitarajiwa kusikizwa mahakamani kesi ya Sinamenye Jeremie kuhusu kufungwa ama kuachiliwa huru mwishowe habari zilithibitisha kwamba meya huyu anayetuhumiwa kutatiza shughuli za wagombea urais ameachiwa huru. Baada ya…