kwamama 6

Kufikia ndoto zako ni mchakato

Hatua ya kwanza ili kufikia ndoto zako ni kuamua unachotaka maishani mwako. Baadaye, unajua kitakachofuata. Moyo wako ukitamani jambo fulani, akili yako inakupatia ramani ya kulipata. Yesu alikuwa anajua mweleko wake Yesu alikuwa…